elimu!!!!!!!!!!!!!SOKO LA HISA LA DAR ES SALAAM (DSE) LATOA ELIMU KWA WAFANYABIASHARA WA KAHAMA KUHUSU SOKO LA KUKUZA UJASIRIAMALI (EGM)
BAADHI YA WAFANYABIASHARA WA MJINI KAHAMA WAKIFUATILIA KWA MAKINI SEMINA KUHUSU SOKO LA KUKUZA UJASIRIAMALI (EGM) IKIWA NI KAMPENI INAYOENDESHWA NA SOKO LA HISA LA DAR ES SALAAM (DSE)
MKUU WA WILAYA YA KAHAMA BW. BENSON MPESYA AKIFUNGUA MAFUNZO HAYO KWA NIABA YA MKUU WA MKOA WA SHINYANGA BW. ALLY NASORO RUFUNGA.
MKUU WA WILAYA YA KAHAMA BW. BENSON MPESYA AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA MENEJA UTAFITI NA UENDELEZAJI WA SOKO KUTOKA DSE BW. MSHINDO IBRAHIM NA KATIBU WA CHAMA CHA WAFANYABIASHARA, WENYEVIWANDA NA KILIMO (TCCIA) MKOA WA SHINYANGA BI. MASELINA SAULO.
MENEJA UTAFITI NA UENDELEZAJI WA SOKO KUTOKA DSE BW. MSHINDO IBRAHIM AKISEMA NENO LA UTANGULIZI KATIKA UFUNGUIZ WA MAFUNZO HAYO.
MENEJA UTAFITI NA UENDELEZAJI WA SOKO KUTOKA DSE BW. MSHINDO IBRAHIM AKISEMA NENO LA UTANGULIZI KATIKA UFUNGUIZ WA MAFUNZO HAYO.
BAADHI YA WAFANYABIASHARA WA MJINI KAHAMA WAKIFUATILIA KWA MAKINI MAFUNZO HAYO.
0 comments: