habari mpasuko!!!!!!!!!!!!!!!BUNGE LA KATIBA LAAHIRISHWA MPAKA SAA KUMI KUTOKANA NA MVUTANO.
Mvutano
Mkubwa Bado Umetawala Bunge Maalum Linaloendelea Mkoani Dodoma Hali
Iliyopelekea Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Hilo Mhe. Pandu Kificho
Kuliahirisha Bunge Hilo Mchana Huu Mpaka saa Kumi Jioni.
Mvutano Mkubwa
Upo namna ya Kupitisha Kanuni ya Kuongoza Kanuni hiyo, Kanuni Kuhusu
Maamuzi ya Bunge Maalum la Katiba Yapitishwe kwa Kura ya Siri ama ya
Wazi.
Mvutano huo umetokea pale Kundi Moja waliposema Ipigwe Kura ya Kuamua Bunge Hilo Kutumia Kura ya Siri ama ya Wazi Ndipo
Majibizano yalipoanza Yakiambatana na Kuzomea kwa Baadhi ya Wajumbe
walipopewa nafasi ya Kuzungumza.
Bunge Hilo Limepitisha kanuni zote kwa
asilimia 95 zilizobaki ni mbili tu lakini uamuzi wake unaleta Mvutano
Mkubwa sana Katika Bunge hilo.
0 comments: