Wizi nomaaaa!!!!!!!!! ABAMBWA AKIIBA VIATU MSIKITINI

clip_image001Kijana anayesadikiwa kuwa kibaka wa kuiba viatu misikiti, aliyejitambulisha kwa jina la Abubakar Abuu (32) akijieleza mbele ya waumini wa msikiti wa Mwenge jijini Dar es salaam,baada ya kunaswa kaiba sendoz za muumini.clip_image001[6]Kijana anayesadikiwa kuwa kibaka wa viatu msikiti katika picha za matukio tofauti ikiwamo akiwa na viatu alivyoiba zinazoonekana mwishoni kulia.
 
CHANZO - MALUNDE1 BLOG

0 comments: