tanzia!!!!!!!!!!!!!MAUAJI YA VIKONGWE KWA IMANI ZA KISHIRIKINA YAENDELEA KUSHIKA KASI MKOANI SHINYANGA.
Mauaji mengine yatokea Mkoa Shinyanga jamani kwa mambo haya ya KUUA wenzenu kila siku KWA IMANI ZA KISHIRIKINA tutafika kweli?
Marehemu Bi Tabu Mtema, miaka 33, Msukuma, Mkulima na mkazi wa kijiji
cha BUSULWANGILI wilayani Kahama mkoani Shinyanga aliyeuawa jana saa 19:00
nyumbani kwake na watu wasiojulikana ambao pia watu hao walimjeruhi
kichwani mume wa mama huyo kwa kutumia panga....
0 comments: